Sign up for our newsletter!
Weekly new courses!
SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI (CERVICAL CANCER)

Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko katika shingo ya kizazi.

Read More
NI NINI HASA FAIDA YA MAZIWA YA MAMA?

Maziwa ya mama husifika kwa virutubisho vya hali ya juu na vyenye uwezo wa kukidhi mahitaji ya mtoto mchanga.

Read More
HUDUMA YA AFYA KWA WATU WENYE ASILI YA BARA LA AFRIKA

African American Health Program (AAHP) ni programu inayohusika na utoaji wa huduma za afya kwa jamii ya watu wenye asili ya bara la Afrika waishio kata ya Montgomery jimbo la Maryland.

Read More
IJUWE SARATANI YA TEZI YA PROSTATE (PROSTATE CANCER)

Tezi ya prostate ni tezi yenye umbile la donati, iliyoko chini ya kibofu cha mkojo.Tezi hii huzungukwa na mirija ya mkojo na uhusika uzalishaji wa maji maji yanayohusika na urutubishaji...

Read More